🔥 FREE DELIVERY KWA ODA ZA JUMLA - DAR ES SALAAM!
Msimu Mpya 2024

Pendeza Kistaa kwa Bei ya Kariakoo

Tunauza nguo bora za kiume, jumla na lejaleja.

Bidhaa Zinazovuma

Fashion

shati mzuriii za Kiume

TSH 10,000
Fashion

T-shirt Premium

TSH 10,000
Fashion

Mashati ya Ofisi

TSH 10,000
Fashion

NGUO KALI

TSH 15,000

Sisi ni nani?

Jose Fashion ni duka namba moja Kariakoo linalotoa suluhisho la mavazi ya kijanja kwa wanaume wanaotaka kupendeza kwa gharama nafuu.

Tuma Mikoani

Tunatuma mizigo salama Tanzania nzima.

Ubora

Nguo zetu hazipauki wala kusinyaa.

Tupo Hapa Kukuhudumia

0758356291(Tigo) 0678159178 (Vodacom)

Muda wa Kazi: Saa 2:00 Asubuhi - 12:00 Jioni