







Jose Fashion ni duka namba moja Kariakoo linalotoa suluhisho la mavazi ya kijanja kwa wanaume wanaotaka kupendeza kwa gharama nafuu.
Tunatuma mizigo salama Tanzania nzima.
Nguo zetu hazipauki wala kusinyaa.
Muda wa Kazi: Saa 2:00 Asubuhi - 12:00 Jioni